Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Biashara, Uwekezaji na Sekta za uzalishaji
Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Abdullah Makame akimkaribisha mgeni
rasmi Katibu Mkuu Afisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora Zanzibar Salum Maulid
Salum (kati kati) kufungua warsha ya utaarishaji mkakati Itifaki ya soko la
pamoja la Jumuiya ya Afrika Mashariki. Wakwanza (kushoto) Makamu wa Rais wa
Chamber of Commerce Zanzibar Ali Aboud Mzee.
Katibu Mkuu Afisi ya Rais Ikulu na
Utawala Bora Zanzibar Salum Maulid Salum akifungua mkutano huo unaofanyika Hoteli
ya Zanzibar Beach Resourt Mbweni Wilaya ya Magharibi Zanzibar.
Baadhi ya waandishi wa habari waliohudhuria ufunguzi wa Warsha ya utaarishaji
mkakati Itifaki ya soko la pamoja la Jumuiya ya Afrika Mashariki wakifuatilia ufunguzi
wa mkutano huo Zanzibar Beach Resourt Mbweni.
Baadhi ya washirki wa warsha ya utaarishaji mkakati Itifaki ya soko la pamoja
la Jumuiya ya Afrika Mashariki wakimsikiliza Katibu Mkuu Afisi ya Rais Ikulu na
Utawala Bora alipokuwa akifungua warsha hiyo.
Picha ya pamoja ya washiriki wa warsha hiyo na Mgeni rasmi Katibu Mkuu Afisi
ya Rais Ikulu na Utawalaq Bora Salum Maulid Salum (wa katikati) waliokaa.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...