Baadhi ya wakazi wa mji wa Moshi wakiangalia kwa mshangao gari aina ya Toyota Spacio,
lenye namba za usajili, T111 BHW likiwa limepinduka chini juu mbele ya ofisi za
TFA barabara ya Boma ,jirani kabisa na kipita shoto cha mnara wa saa
,Dereva wa gari hilo anadaiwa alikuwa akijaribu kuwakimbia askari wa
kikosi cha barabarani kwa mwendo wa kasi kabla ya kugonga gari jingine
na hatimaye kupinduka.hakuna aliepoteza maisha kwenye tukio hilo la ajali.Picha na Dixon Busagaga wa Globu ya jamii kanda
ya kaskazini.
Home
Unlabelled
YALE YALEEEE.......:Gari lapinduka wakati dereva akiwakimbia askari Polisi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...