Balozi wa Tanzania Ubeligiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala akihutubia wakati akitambulisha fursa za uwekezaji na biashara zinazopatikana Tanzania katika Kongamano la kuitangaza Tanzania lililofanyika Wetteren Ubeligiji. Ubalozi wa Tanzania Ubeligiji umeandaa Kongamano hilo kwa kushirikiana na kampuni za Recticel, SGS, Zonpunt na Chuo Kukuu cha Ghent.
Balozi wa Tanzania Ubeligiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala akitambulisha fursa za uwekezaji na biashara zinazopatikana Tanzania katika Kongamano la kuitangaza Tanzania lililofanyika Wetteren Ubeligiji. Ubalozi wa Tanzania Ubeligiji umeandaa Kongamano hilo kwa kushirikiana na kampuni za Recticel, SGS, Zonpunt na Chuo Kukuu cha Ghent.
Balozi wa Tanzania Ubeligiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala akipokea maua kutoka kwa mwakilishi wa Wafanyabiashara wa Wetteren Ubeligiji baada ya kuelezea fursa za biashara na uwekezaji zinazopatikana Tanzania. Wafanyabiashara hao wamemshukuru Balozi Kamala kuwatembelea na kuwaeleza fursa za biashara na uwekezaji zinazopatikana Tanzania.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...