Southern Highlands School LTD ya Mafinga, Iringa, inatangaza nafasi za kazi za ualimu katika shule yake mpya ya secondary ya MUFINDI HIGHLANDS SECONDARY SCHOOL itakayo kuwepo maeneo ya Kinyanambo ‘C’ Mafinga.
Shule inatangaza nafasi za walimu wa secondary wenye diploma.
Nafasi zipo kwa walimu wa masomo ya sayansi, mathematics, book keeping, commerce, kiswahili na masomo ya arts.
Maombi yawasilishwe shuleni Southern Highlands School kwa maandishi, yaambatanishwe na nakala za vyeti, testimonials na pamoja CV.
Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 30 January 2015.
Ahsante.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...