Meneja Msaidizi wa
Uwekezaji na Biashara Kubwa wa Benki ya Exim, Thobius Samwel (wa kwanza
kushoto) akitoa maelezo juu ya huduma za kibenki zitolewazo na benki yake kwa washiriki wa shindano la Gofu liloandaliwa
kwa watendaji wakuu wa makampuni mbali mbali jijini Dar es Salaam lililofanyika
katika viwanja vya Gofu vya Lugalo, mwishoni mwa wiki jijini Dar Es Salaam. Kushoto
ni Afisa Mauzo, wa benki hiyo Bw. Ishaq Samailla. Benki ya Exim ilikuwa miongoni mwa wadhamini.
Meneja Msaidizi wa
Uwekezaji na Biashara Kubwa wa Benki ya Exim, Joseph Lema (katikati) akichukua
moja ya vipeperushi vyenye maelezo juu ya huduma za kibenki zitolewazo na benki
yake, kumpatia mshiriki wa shindano la Gofu liloandaliwa kwa watendaji wakuu wa
makampuni mbali mbali jijini Dar es Salaam lililofanyika katika viwanja vya
Gofu vya Lugalo, mwishoni mwa wiki jijini Dar Es Salaam. Kushoto ni Afisa Mauzo,
wa benki hiyo Bw. Ishaq Samailla.Benki ya Exim ilikuwa miongoni mwa wadhamini.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...