Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Sheria za privacy na upigaji watu picha ovyo bila ruhusa zao zinasemaje? wadau tupeni elimu.

    ReplyDelete
  2. Wameshaelimishwa sana kuvaa kofia wakiwa wanaendesha lakini huyu hataki kusikia mpaka labda yamkute ndo atajua umuhimu wake

    ReplyDelete
  3. Mdau wa kwanza hizo ni sheria zilizopitwa na wakati, ukikutwa unavunja sheria kamera za udakuzi zinakudaka tu!! Kwa sasa hivi ukitaka "privacy" labda uishi kwenye mahandaki au mapango kule pangani, maana hata kwenye mwezi kamera zipo, kwenye Mars. utakutana na kamera ya Rover!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...