Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi ya Bodi ya Kahawa Tanzania(TCB) Alhaj Dk Juma Ngasongwa akichangia wakati wa uzinduzi wa mtaala endelevu wa kitaifa juu ya zao la Kahawa. |
Mwakilishi wa Cafe Africa nchini Tanzania ,Catherine Mwangata
akifafanua jambo wakati akiwasilisha mtaala endelevu wa kitaifa juu ya
zao la Kahawa uliozinduliwa na Bodi ya Kahawa nchini (TCB). BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI |
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...