Mshiriki wa Tanzania anayewakilisha ndani ya mjengo wa Big Brother ‘hotshots’ , Idris Sultan ndiye ameibuka kidedea leo usiku katika shindano hilo huko Afrika Kusini. Idris amekuwa Mtanzania wa pili kushinda shindano hilo, baada ya Richard Dyle Bezuidenhout kuibuka kidedea mwaka 2011 katika Big Brother Afrika II.

Hongera sana Idrisa kwa kutuwakilisha WaTz
ReplyDeletewadau
FFU -Ughaibuni
Hongera sana Idris kwa ushindi wako mnono BBA. Kwa mara nyingine tena Tanzania imeonekana tena katika ramani ya dunia. Ni hivi juzi tu Diamond Platnumz kajizolea tuzo katika sanaa ya muziki.
ReplyDeleteHongereni sana Idris Sultan na Nasib Abdul kwa kutupeperushia vyema kabisa bendera ya Taifa letu la Tanzania. Mungu awabariki. Nina hakika hata Mhe. JK atakuwa amezidi kupata nafuu kubwa katika maradhi kutokana na furaha aliyonayo kutokana na ushindi wenu, furaha hii ni kubwa sana.
Mungu Ibariki Tanzania!
Peters Mhoja - Sweden
SIO DOLA ELFU TATU (3,000.00) NI DOLA LAKI TATU (300,000.00)
ReplyDeleteIngawa mkwanja atachukua Idris na kufaidi yeye na ukoo wake na marafiki :) hakika ushindi huu ni wa kujivunia sisi wote waTanzania, kwani kwa mara nyingine tena tumesikika katika vyombo vya habari vya kimataifa. Umecheza mchezo vyema na HONGERA sana Ndugu Idris
ReplyDeleteKutoka Ughaibuni
TANZANIA TANZANIA TANZANIA TANZANIA TANZANIA TANZANIA TANZANIA TANZANIA TANZANIA TANZANIA TANZANIA TANZANIA
ReplyDeletehaya tunawasubiri huku na kaka yetu Mwigulu tukate kodi zetu kwenye hicho kipato halali.
ReplyDeleteHongera sana bro
ReplyDelete