CHAMA
CHA TENNIS TANZANIA (TTA) KUANDAA TENA MASHINDANO YA
AFRIKA
MASHARIKI (EAST AFRICAN JUNIOR ZONAL CHAMPIONSHIPS) KWA VIJANA
CHINI YA UMRI WA MIAKA 16, JANUARI 11-19 2015.
Chama cha Tennis Tanzania (TTA) kimepewa nafasi nyingine tena ya kuandaa mashindano ya vijana wa
ukanda wa Afrika Mashariki (East Africa
zonal championships) na yatafanyika kuanzia
tarehe 11 hadi 19 Januari 2015. Nchi shiriki kwa mwaka 2015 ni Burundi,
Comoros, Ethiopia, Kenya, Rwanda, Seychelles, Sudan na Tanzania.
Tunategemea
jumla ya washiriki wapatao 72 (pamoja na Tanzania). Tanzania itawakilishwa na vijana 22 ikiwa na team A na B.
TTA inajivunia kuanzishwa
kwa mfumo wa renki unaotoa fursa kwa wachezaji kujikusanyia pointi kwenye
orodha ya wachezaji wa tennis Tanzania. Hili limesaidia urahisi wa uchaguzi wa
timu na kuepuka lawama za kupendelewa watu flani. Kila mchezaji wa chini ya
umri 18 ana nafasi sawa ya kukusanya pointi kwa kushiriki mashindano
yanayoandaliwa na TTA au watu binafsi yaliyoidhinishwa na chama. Timu ya
Tanzania mwaka huu itawakilishwa na:
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...