Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya,Naseeb Abdul a.k.a Diamond Platnumz jana usiku aliweza kunyakua tuzo nyingine kutoka The Future Awards Africa 2014 huko jijini Lagos,Nigeria. Amelamba tuzo ya The Future Awards Africa Prize in Entertainment.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Big up Mr Diamond! Kaza uzi na ujulikane na dunia nzima! Wewe ni mfano wakuigwa na wasanii wachanga na wavivu Kwetu Tanzania. Binafsi nakukubali ila usivimbe kichwa!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...