Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Kweli Diamond Platnumz ni msanii wa anga zingine,wasanii wa kizazi kipya wanajaribu kukukimbiza lakini hawakufikii.

    Msondo Ngoma/Mlimani Park lini dokumentari mtafanya maana na nyie pia ni ''Baba ya muziki wa dansi Tanzania!? Wadau wapo wa kufanikisha ila wakongwe lazima muoneshe nia, ari na njia kuwa mnataka kuweka kumbukumbu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...