Sehemu ya Wafanyakazi
wa kampuni ya mafuta ya Engen Tanzania wakijadiliana jambo kabla ya kuanza mtanange wao katika Bonanza la kusherehekea kumaliza mwaka 2014,lililofanyika mwishoni mwa wiki katika Sunrise,Kigamboni jijini Dar es Salaam.
Wafanyakazi wa kampuni ya mafuta ya engen wakiendelea kuonesha vipaji vyao vingine kwenye sherehe ya kumaliza mwaka.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...