Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais (Kazi Maalum),Mh. Prof. Mark Mwandosya akiwa kwenye picha ya pamoja na wajukuu zake wakati wa kusherehekea kutimiza miaka 65 ya kuzaliwa kwake,aliyoiadhimisha jana huko kijijini kwake Lufilyo, Busokelo, Wilayani Rungwe.
Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais (Kazi Maalum),Mh. Prof. Mark Mwandosya akikata keki sambamba na wajukuu zake wakati wa kusherehekea kutimiza miaka 65 ya kuzaliwa kwake,aliyoiadhimisha jana huko kijijini kwake Lufilyo, Busokelo, Wilayani Rungwe.
Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais (Kazi Maalum),Mh. Prof. Mark Mwandosya na Mkewe Mama Lucy Mwandosya (wa pili kushoto nyuma) wakiwa kwenye picha ya pamoja na wajukuu zao wakati wa kusherehekea kutimiza miaka 65 ya kuzaliwa kwa Mh. Mwandosya,aliyoiadhimisha jana huko kijijini kwake Lufilyo, Busokelo, Wilayani Rungwe.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Huyo mjukuu wako wa kiume uliyembeba, mh! mumefanana sana.

    Ndiyo maana unampenda sana nini?

    Anyway happy birthday to you Prof, Mungu akupe umri mrefu wenye afya na furaha.

    ReplyDelete
  2. Mi nimeipenda keki!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...