Watoto wa Mhe Samwel John Sitta wana furaha ya kusherehekea miaka 72 ya kuzaliwa kwa baba yao mpendwa. Wanatoa salamu za heri, upendo na furaha kwa mzee wao kufikisha miaka hiyo akiwa buheri wa afya na wanamtakia azime tena mishumaa mingine zaidi huku akiendelea kuwapenda kama wanavyompenda. 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Hongera sana mheshimiwa mwenyezi Mungu akuzidishie ufikishe miaka 100 na zaidi. wewe ni JEMBE LA KWELI

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...