Rais Jakaya Mrisho kikwete katika picha ya pamoja na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Profesa Mussa Juma Assad na wafanyakazi wa ofisi ya CAG Ikulu jijini Dar es salaam leo
Rais Jakaya Mrisho kikwete akiwa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Profesa Mussa Juma Assad na CAG Mstaafu Bw. Ludovick Utouh Ikulu jijini Dar es salaam leo.
Ankal,
ReplyDeleteNaomba picha kama hizi ambazo ni kumbukumbu muhimu kwa wateuliwa uwe unawatoa hao jamaa wanao zagaa zagaa huko nyuma!!! Ushauri kutoka kwa mdau wa globu yetu!
hongera sana kaka
ReplyDeleteKweli kabisa. Sasa kama huyo Wasira na jamaa wa magereza huko nyuma wanaohusika vipi!
ReplyDeleteChezea ESCROW...congrats CAG mpya!
ReplyDeleteHongera Prof. Assad mwalimu wangu,jamaa yuko straightforward hana longolongo,mtakaokuwa chini ya uongozi wake mjiandae kufanya kazi kwa bidii sana bila hivyo hamtamwelewa hata kidogo!
ReplyDeleteKaole Group inaundwa msije mkashangaa CAG mpya akaja kusema ktk ESCROW hakuna pesa za Watanzania! Alafu CAG anayeondoka akaonekana mzushi, Pia angalia sura ya Mh Ludo inaonekana haina furaha je kuna nini?!
ReplyDeleteBig up Ludo, Watanzania wote wanatamani kama wangekuongezea muda tu kama wafanyavyo kwa wengine...