Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifanya mazoezi leo katika viwanja vya Ikulu kufuatia ushauri wa madaktari waliomtaka afanye hivyo mara tatu kwa siku ili kuendelea kuimarisha afya yake baada ya kufanyiwa upasuaji mwezi uliopita katika hospitali ya Johns Hopkins nchini Marekani. 
Picha na Ikulu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Safi jembe letu

    ReplyDelete
  2. Mheshimiwa rais, hao watu waliokula pesa za umma mbona hawawajibishwi hadi sasa?

    ReplyDelete
  3. Afya ni kitu muhimu sana na binadamumkutokwa na jasho kila siku vilevile ni muhimu sana. Wale walio madaraja ya juu wanaotembea kwa magari yenye AC mujue hayo. Tunamwombea Rais wetu maisha marefu na afya njema. Watanzania tuerevuke tusibobee kwenye magari yenye AC tu, kula na kulala. Kufanya mazoezi ni muhimu na kutokwa jasho ni afya. Kwa leo hayo ni yangu kwa Watanzania wenzangu wake kwa waume.

    ReplyDelete
  4. Twasubiri matamshi ya Rais kuhusu mgao mbona kimya?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...