Home
Unlabelled
JK APIGA TIZI MARA TATU KWA SIKU KUIMARISHA AFYA YAKE
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Safi jembe letu
ReplyDeleteMheshimiwa rais, hao watu waliokula pesa za umma mbona hawawajibishwi hadi sasa?
ReplyDeleteAfya ni kitu muhimu sana na binadamumkutokwa na jasho kila siku vilevile ni muhimu sana. Wale walio madaraja ya juu wanaotembea kwa magari yenye AC mujue hayo. Tunamwombea Rais wetu maisha marefu na afya njema. Watanzania tuerevuke tusibobee kwenye magari yenye AC tu, kula na kulala. Kufanya mazoezi ni muhimu na kutokwa jasho ni afya. Kwa leo hayo ni yangu kwa Watanzania wenzangu wake kwa waume.
ReplyDeleteTwasubiri matamshi ya Rais kuhusu mgao mbona kimya?
ReplyDelete