Mkuu wa Huduma kwa wateja wa kampuni ya TTCL, Laibu Leonard (wa kwanza
kulia) akimkabidhi baadhi ya misaada Muuguzi Mkuu wa Hospitali ya Ocean
Road, Marry Haule (nguo ya bluu) waliyoitoa kwa wagonjwa. Wengine ni
maofisa wa TTCL.
Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya TTCL wakishusha bidhaa mbalimbali
ambazo wamezitoa kama msaada kwa wagonjwa wa kansa Hospitalini hapo.
Muuguzi Mkuu wa Hospitali ya Ocean Road, Marry Haule (nguo ya bluu) akishukuru TTCL mara baada ya kukabidhiwa msaada huo.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...