Kijana mmoja ambaye jina lake halikufahamika mara moja amenusurika kifo toka kwa wananchi wenye hasira kali baada ya kukiri kuiba shuka la Kimasai katika moja ya maduka yanayouza bidhaa za aina hiyo lililoko mtaa wa uswahilini katikati ya mji wa Moshi.
Na Dixon Busagaga wa Globu ya jamii kanda ya kaskazini.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Laiti huyu kijana angetambua maana ya maneno yaliyoandikwa kwenye t-shirt yake, haya yote yasingemkuta.

    ReplyDelete
  2. his t shirt speaks for him...

    ReplyDelete
  3. laiti angelifuata ujumbe uliopo kwenye t-shirt yake....

    ReplyDelete
  4. This is what happens to you when you ignore the busara printed on your t-shirt....

    ReplyDelete
  5. Kaiba nguo karibu afe. Walioiba millioni ni untouchables. This is a crazy world we're living.

    ReplyDelete
  6. Ni kweli kabisa dunia hii imejaa uonevu.

    ReplyDelete
  7. hahahahahahhahah......

    ReplyDelete
  8. Jamaa kaiba shuka la kimaasai, mnataka kumuwa, wengine wankwiba mabilioni wana peta tu - Ndiyo Bongo yetu hii! Very sad indeed.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...