Ni
miaka 9 tangu ulipotangulia katika makazi yako ya milele siku
ile ya huzuni 5 Dec 2005.
Tunakumbuka
kwa huzuni upendo na uongozi wako katika familia.
Miongozo
na mapenzi makubwa uliyotupa ndio yanayotuwezesha kusimama na kumsifu Bwana kila siku.
Unakumbukwa
sana na mke wako Hidaya Kezirahabi, watoto wako wapenzi na
wajukuu, ndugu, jamaa na marafiki wote.
“Bwana akupatie pumziko la milele, na mwanga wa milele
akuangazie, upumzike kwa amani.”
“Bwana alitoa na bwana alitwaa. Jina lake lihimidiwe
milele”
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...