MARY NICEPHORY MSUYA
10-12-2013 – 10 – 12 -2014.
NI MWAKA MMOJA SASA TANGU MUNGU
AKUCHUKUE GHAFLA BILA MATEGEMEO
YETU,TULIKUPENDA LAKINI MUNGU AMEKUPENDA ZAIDI,UNAKUMBUKWA NA MUME WAKO
NICEPHORY SUDI MSUYA, WATOTO WAKO, WAJUKUU, WAKWE ZAKO, NDUGU ZAKO, JAMAA ,
WANAJUMUIYA NA MARAFIKI WOTE, TUNAZIDI KUENZI UPENDO ULITUACHIA,
BWANA ALITOA ,BWANA
ALITWAA , JINA LAKE LIHIMIDIWE.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...