Makamu
wa Rais wa Shirika la Maendeleo la Japan JICA, Kato Hiroshi akimueleza jambo Waziri wa Ujenzi, Mheshimiwa
Dkt. John Pombe Magufuli kuhusu masuala mbalimbali yahusuyo Sekta ya Ujenzi wa
barabara nchini wakati alipomtembelea Ofisini kwake jijini Dar es Salaam.
Waziri
wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli akifafanua jambo kwa Makamu wa Rais wa JICA
Kato Hiroshi.
Naibu
Waziri wa Ujenzi Eng. Gerson Lwenge ( wapili kulia), akimuuliza swali Makamu wa Rais wa JICA Kato Hiroshi (wa kwanza kushoto) kuhusu miradi mbalimbali
inayofadhiliwa na Serikali ya Japan kupitia Shirika hilo la Maendeleo.
Baadhi
ya wajumbe kutoka JICA wakiangalia baadhi ya picha za matukio
mbalimbali katika Wizara ya Ujenzi kabla ya mkutano wao na Waziri wa Ujenzi.
Waziri
wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Makamu wa Rais wa
JICA, Kato Hiroshi mara baada ya kumaliza
mkutano wao uliofanyika Wizara ya Ujenzi.
PICHA ZOTE KWA HISANI YA KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI,
WIZARA YA UJENZI.
Mkumbushe barabara za juu. Dr. Magufuli hapo unahitaji msaada maana umekwama. Mengine yote safi. Kilichobaki flyover.
ReplyDeleteThis explains why after more than 50 years of independence there is not single road in Dar es Salaam built to international standards, thanks to our thieving leaders,...Can you imagine China who is supposed to be our best friend is building three lane highways just next door in Kenya while we end up with sub standard dirt roads in DAR....what a shame!
ReplyDelete