Home
Unlabelled
Kutoka maktaba: Ankal akiwa loliondo mwaka 1990
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Duuuuuh! Ankal we kweli noma. Mtu akikuangalia juu juu atadhani umeanza libeneke leo. Kumbe dah! Hongera zako Ankal. Na-admire sana staying (on top) power yako. How do you do that?? We are talking about 24 bloody years ago here man! Loliondogate was the first big "Escrow" saga Tanzania had ever had. Daaang!
ReplyDeleteMdau Helsinki
Unaonaje kumebadilika sana ukilinganisha na wakati wa kikombe cha babu? Hiyo guest house nahisi ni zile vitanda vya BANCO. Hongera Ankal.
ReplyDeleteSi mchezo Ankal viwanja vya majanga ulikuwa unavimudu ! hebu tunaomba hile picha ulipokuwa unafuatilia mgogoro wa yanga katika za wazee wa kandambili na laizoni
ReplyDeletewadau FFU-Ughaibuni
duu mmenikumbusha siku nyingi sana ,mzee wangu alihamishiwa kikazi huko mwaka 90 tulikaa sana line police loliondo,yaan sitasahau loliondo huko nikula nyama za porini na redio tunayosikilizwa sana ilikuwa KBC ya kenya ,kwenda kenya ni nusu saa tu tena hata wa mguu , loliondo makao makuu ya wilaya ngorongoro,na vijiji vya vyake waso,lolosokwani, sakala, du TANZANIA ni kubwa.
ReplyDelete