Diamond akiwasili kwenye uwanja wa kimataifa wa Dulles muda huu tayari kwa makamuzi ya sharehe ya Uhuru itayofanyika leo  Sheraton ya Downtown Silver Spring, Maryland.
 Diamond akipungia wenyeji mara tu alipowasili Dulles.
 Kutoka kushoto ni Dj Romy Jones, Diamond na mmoja wa waratibu wa sherehe ya Uhuru Bw. Phanuel Ligate
 Moses Iyobo, Dj Romy Jones wakiwa uwanja wa ndege wa kimataifa mara tu baada ya kuwasili kwa ajili ya sherehe ya Uhuru itakayofanyika leo Jumamosi Sheraton ya Downtown Silver Spring, Maryland. 
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Wenyeji hakikisheni vijana hao wanavaa nguo kufuatana na hali ya baridi sasa huko East Coast, USA.

    Maana naona hapo airport wako karibu vifua wazima huku wenyeji naona wamejihifadhi na nguo rasmi za msimu wa baridi.

    Diamond na washikaji wake watapata frost bite, hypothermia hao na huko USA bila bima ya afya wanaweza kukuta bili ni £5,000 kwa mgonjwa mmoja. Hela yote ya onesho ikaishia kulipia gharama za hospitali.

    Mdau
    Cape Town, Republic of South Africa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...