Baadhi ya viongozi wa jumuiya za watembezaji watalii nchini Uturuki, wakimsikiliza Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad (hayupo pichani) walipokutana naye kwa mazungumzo mjini Istanbul nchini Uturuki.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na viongozi wa jumuiya za watembezaji watalii nchini Uturuki.Picha na Salmin Said, Istanbul
JAMANI HIVI HAWA WATU WA ITIFAKI WANAFANYA NINI MAANA HILI LA BENDERA YA TAIFA KUWA JUU-CHINI SASA LINAKUWA KAWAIDA. HII NI KUJIDHALILISHA KITAIFA. ANKO MICHUZI PLEASE HII KITU ISAIDIWE JAMANI.
ReplyDeleteBendera ya taifa letu hapo mezani imekaa juu chini na wawakilishi wetu waliokaa hapo wamekaa kimya. Siwezi kuamini kuwa Watanzania wote hapo hawajaziona hizo bendera.
ReplyDeleteKumbuka hivi. KIJANI ipo JUU INASHIKILIA MLINGOTI na MISTARI MIWILI YA MANJANO inaelekea MBELE NA JUU
ReplyDelete