Baadhi ya viongozi wa jumuiya za watembezaji watalii nchini Uturuki, wakimsikiliza Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad (hayupo pichani) walipokutana naye kwa mazungumzo mjini Istanbul nchini Uturuki.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na viongozi wa jumuiya za watembezaji watalii nchini Uturuki.Picha na Salmin Said, Istanbul

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. JAMANI HIVI HAWA WATU WA ITIFAKI WANAFANYA NINI MAANA HILI LA BENDERA YA TAIFA KUWA JUU-CHINI SASA LINAKUWA KAWAIDA. HII NI KUJIDHALILISHA KITAIFA. ANKO MICHUZI PLEASE HII KITU ISAIDIWE JAMANI.

    ReplyDelete
  2. Bendera ya taifa letu hapo mezani imekaa juu chini na wawakilishi wetu waliokaa hapo wamekaa kimya. Siwezi kuamini kuwa Watanzania wote hapo hawajaziona hizo bendera.

    ReplyDelete
  3. Kumbuka hivi. KIJANI ipo JUU INASHIKILIA MLINGOTI na MISTARI MIWILI YA MANJANO inaelekea MBELE NA JUU

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...