Mke wa Rais na Mjumbe wa NEC Taifa ya Chama Cha Mapinduzi Mama Salma Kikwete akijumuika na viongozi mbalimbali wa Mkoa na wilaya ya Lindi mjini pamoja na wananchi wa Kata ya Mingoyo kucheza wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika Mnazi Mmoja tarehe 6.12.2014.
Mke wa Rais na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi Mama Salma Kikwete akiwahutubia viongozi wa Kata ya Mingoyo pamoja na wananchi wa Mnazi Mmoja wakati wa mkutano wa kampeni ya uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika tarehe 14,12.2014

Mke wa Rais na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi Mama Salma Kikwete akiwahutubia viongozi wa Kata ya Mingoyo pamoja na wananchi wa Mnazi Mmoja wakati wa mkutano wa kampeni ya uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika tarehe 14,12.2014. PICHA NA JOHN LUKUWI.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...