Sehemu ya Wauguzi wa Jijini Dar es Salaam na wale wa kutoka mikoa ya jirani wakiwa wamejumuika pamoja kuongoza jeneza lenye mwili wa aliyekuwa  Ofisa Muuguzi Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Clavery Mpandana,aliefariki dunia hivi karibuni katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kabla ya kwenda kuzikwa kwenye makaburi ya Kinondoni,jijini Dar es salaam.
 Mkurugenzi wa Uuguzi Agnes Mtawa, (kushoto ) akiwa anaanzisha wimbo katika kumuaga  Ofisa Muuguzi Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Clavery Mpandana  Dar es Salaam juzi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Dar es Salaam juzi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili na mazishi yaliyo fanyika katika Makaburi ya Kinondoni Dar es Salaam juzi.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI






Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Hakika huyu alikuwa mtu wa watu!

    ReplyDelete
  2. Huyu alikuwa mtu wa watu haswa...manake mie nilijua maandamano au mgomo wa madaktari.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...