Picha ya pamoja
Naibu
Mtendaji Mkuu wa Benki M, Bi. Jacqueline Woiso (kushoto), akijaribu
kumvika Joho la Heshima, Mwakilishi wa Kampuni ya Tanga Fresh, Bw.
Douglas Kakere, wakati wa chakula cha usiku kupongeza makampuni 100 ya
kati, Dar es Salaam juzi.
Naibu Mtendaji Mkuu wa Benki M, Bi. Jacqueline Woiso (wa tatu kushoto),
akikadhi Tuzo maalumu kwa mwakilishi wa Kampuni ya Tanga Fresh, Bw.
Douglas Makere, baada ya kumvika Joho la heshima kutambua mchango wa
kampuni hiyo, wakati wa chakula cha usiku kilichoandaliwa kwa ajili ya
kuyapongeza makampuni 100 ya kati, Dar es Salaam juzi. Kulia ni Ofisa wa
Kampuni hiyo, Bw. Protas Kimario.
Meneja
Biashara wa Benki ya Afrika (BOA), Bw. Solomon Haule (kushoto),
akizungumza na waandishi wa habari, kabla ya kuchezesha mchezo wa bahati
nasibu kwa wateja wa benki hiyo, Dar es Salaam jana. Wengine ni Mkuu wa
Mawasiliano, Bw. Willington Munyanga na Mkaguzi kutoka Bodi ya Michezo
ya kubahatisha, Bw. Bakari Maggid (kulia).
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...