Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood Kulia akimsikiliza Aliyekuwa Mwenyekiti Baraza la Vijana la Chama cha wananchi CUF Wilaya ya Morogoro Ndugu Mariam Iswili aliyeamua Kurudisha Kadi ya Cuf na Kujiunga na Chama cha Mainduzi.Katika Tukio Hilo jumla ya wanacha 167 Kutoka Vyama vya CUF CHADEMA na NCCR MAGEUZI Walirudisha kadi zao na kusema vyama hivyo havina sera Mya zaidi ya Majungu na Maneno Mengi yasiyo na Tija kwa wananchi.
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood Kiwa na Kadi ya Cuf aliyoiokea.
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood Akionyesha kazi alizokabidhiwa kuto kwa wanachama waliohama kutoka vyama vya CHADEMA  na CUF na Kuhamia CCM
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood Za vyama vya chadema CUF na Nccr Mageuzi alizookea Kutoka kwa wanachama wa Vyama Hivyo na Kuamua Kujiunga na chama cha Mapinduzi. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Siasa ina raha yake kwa sisi ambao hatuna vyama napenda kuangalia huku nikitabasam

    ReplyDelete
  2. hahahahaha nilishawahi kuandika hapa ukabana leo umejirengesha mwenyewe....habari muhimu hapa ni CCM wavuna wanachama wa ukawa, mdee aitwa mahakamani, polisi watawanya maandamano ya ukawa, na mengi hasi.....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...