Waziri
Mkuu mstaafu Mh. Fredrick Sumaye akiwasili na ndege ya shirika la
ndege la Fastjet kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Songwe mjini
Mbeya huku akiwa ameongozana na Katibu
Mkuu wa Umoja wa Makanisa ya Kipentekoste nchini (CPCT), Askofu David
Mwasota kushoto na Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex
Msama Tayari kwa kuhudhuria Tamasha la Krismas ambalo linafanyika kwenye
uwanja wa Sokoine jijini Mbeya, Mh, Sumaye atakuwa mgeni rasmi katika
tamasha hilo ambalo litashirikisha waimbaji wengi kutoka hapa nchini na
nchi jirani.(PICHA NA KIKOSI KAZI CHA FULLSHANGWE -MBEYA)
Waziri
Mkuu mstaafu Mh. Fredrick Sumaye akiwasili na ndege ya shirika la
ndege la Fastjet kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Songwe mjini
Mbeya huku akiwa ameongozana na Katibu Mkuu wa Umoja wa Makanisa ya Kipentekoste nchini (CPCT), Askofu David Mwasota na Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama wa pili kutoka kushoto, mwisho kushoto ni MC Mwakipesile wa jijini Mbeya
Waziri Mkuu mstaafu Mh. Fredrick Sumaye na Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama
wakimsikiliza MC Mwakipesile mara baada ya kuwasili na ndege ya
shirika la ndege la Fastjet kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa
Songwe mjini Mbeya.
Waziri Mkuu mstaafu Mh. Fredrick Sumaye na Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama wakifurahia jambo kutoka kushoto ni Katibu Mkuu wa Umoja wa Makanisa ya Kipentekoste nchini (CPCT), Askofu David Mwasota na MC Mwakipesile.
MC.
Mwakipesile kulia na John Melele mmoja wa waratibu wa Tamasha hilo
wakifurahia jambo kwenye uwanja wa Ndege wa Songwe mkoani Mbeya.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...