Maandalizi ya kutandika Mkeka wa nguvu katika Barabara ya kutotea Tanesco Mikocheni A mpaka Msasani  kama inavyoonekana pichani.hii ni sehemu ya maendeleo yanayofanywa na Serikali yetu sikivu.
 Siku si nyingi mambo yatakuwa mswano na watu watakuwa wanaleza tu jamvini.
Mmoja wa wataalam wa ujenzi wa barabara hiyo akiangalia kama mambo yako vyema.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. tatizo haya majamvi yakitandikwa hayafagiliwi wala kusafishwa mpaka yanaoza halafu inabidi yatandikwe mapya , ikiwa kutakuwa na utaratibu wa kuyakarabati kila muda basi yatadumu

    ReplyDelete
  2. wapi mfereji? maisha mafupi bila mfereji wa maji ya mvua!Ila hongereni.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...