Maandalizi ya kutandika Mkeka wa nguvu katika Barabara ya kutotea Tanesco Mikocheni A mpaka Msasani kama inavyoonekana pichani.hii ni sehemu ya maendeleo yanayofanywa na Serikali yetu sikivu.
Siku si nyingi mambo yatakuwa mswano na watu watakuwa wanaleza tu jamvini.
Mmoja wa wataalam wa ujenzi wa barabara hiyo akiangalia kama mambo yako vyema.
tatizo haya majamvi yakitandikwa hayafagiliwi wala kusafishwa mpaka yanaoza halafu inabidi yatandikwe mapya , ikiwa kutakuwa na utaratibu wa kuyakarabati kila muda basi yatadumu
ReplyDeletewapi mfereji? maisha mafupi bila mfereji wa maji ya mvua!Ila hongereni.
ReplyDelete