![]() | ||
| Waziri wa Mambo ya Ndani wa Kenya, Joseph ole Lenku (kulia), na Mkuu wa Polisi, David Kimaiyo ambae amejiuzulu muda mfupi leo |
Kufuatia shambulio lililofanywa na kundi la wanamgambo wa Al Shabaad nchini Kenya kwa kuwaua watu 36 yaliyotokea leo ,mkuu wa polisi nchini humu David Kimaiyo anadaiwa kutangaza kujiuzulu nafasi yake hiyo.
Mkuu huyo wa polisi amelazimika kujiwajibisha mwenyewe kwa kujiuzulu kutokana na mauwaji ya mara kwa mara yanayofanywa na kundi hilo la Al shabaad nchini humo kwa kipindi cha siku takribani 8 ni watu zaidi ya 60 wameuwawa na kundi hilo wakiwemo wale waliotekwa katika basi na kumiminiwa risasi na Al Shabaab .
Suala hili la kujiwajibisha kwa wenzetu Kenya wanaweza hasa wakitambua kuwa cheo ni dhamana ila ingekuwa kwetu Tanzania kwa kiongozi kujiuzulu bila kuundiwa tume ni vigumu sana



uWAJIBIKAJI, PIA KUNA WAZIRI KAPIGWA CHINI NA UHURU HAYO NDIO MAMBO SIO BLAH BLAH....HATUFIKI WATU WANAJIFANYIA WATAKAVYO....
ReplyDeleteUwajibikaji ni muhimu, lakini vita hii na Alshabab Mungu asaidie iishe wakenya wakae kwa amani.
ReplyDelete