Kaka Issa Michuzi,
Pole na mihangaiko yako ya kila siku. Kwa kweli kwa upande wangu mambo si mazuri. nasumbuliwa na tatizo la upungufu wa nguvu zetu kwa hiyo ni karaha saana. Sina raha kwa kukosa chakula ya usiku.
Nimeona kwenye blog yako hili tangazo hapa kwenye hii linki:
Ningependa kupata mrejesho toka kwa huyu ndugu lakini naona hajibu tena meseji. Basi nakuomba uliweke hili tangazo kwenye blog yako ili mwenye suluhu aweze kutuelekeza wapi pa kuipata. naomba msaada kaka najua wajua karaha aipatayo mwanamume pale mambo yanapogoma.
Naomba uweke email yangu tujndalwa@yahoo.com ili nisijulikane.
Natanguliza shukrani kaka.
jitahidi ukafanye workup hospitalini ili kujua source ya tatizo lako na baadaa ya doctor kuchukua historia na kukufanyia examination aataweza kukusaidia ipasavyo.Ni hilo tu asante na pole sana .
ReplyDeleteMDAU
Jaribu kuangalia ugonjwa wa kisukari kwanza kama huna punguza mawazo na ufanye mazoezi mepesi na Kula mboga za kijani na vyakula vya baharini usitumie red meat
ReplyDeleteHivi kisukari kinaweza kusababisha au kuchangia ukosefu wa chakula ya usiku? Basi naona kwa Mh mmoja wa wizara kubwa sana kule visiwani yeye kwake kisukari chake naona ni tofauti maana ana michepuko balaa hapa bara.
ReplyDeletemdau hebu pitiapitia hapa
ReplyDeletehttp://www.webmd.com/erectile-dysfunction/guide/cialis-levitra-staxyn-viagra-treat-ed
simple, just use VIAGRA and you will fine.
ReplyDeleteMbona kuna dawa za kienyeji kibao kwa wamasai, wachina, wafipa, wa.... tatizo hili ni siri za watu lakini wengi wanalo.
ReplyDeleteMi natumia dawa za kienyeji za kichina kwa miezi 2 sasa na napiga mashine ile mbaya.
kama umri wako ni 40+ si ajabu.