Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Ankali,
    Wapi hapa, Mji gani, Barabara gani? kwa ufupi KIGAMBONI ipo wapi Mombasa, Kenya au Mwanza, Tanzania?

    Viwango lazima kuzigatiwa habari ktk Globu ya Jamii.

    Mdau
    Ipogolo, Mufindi Iringa

    ReplyDelete
  2. Foleni za Kigamboni sio kwa jana tu ndio kawaida kuvuka kwenda Kigamboni kwa jioni ni shida na kuvuka kuja mjini kutoka Kigamboni asubuhi ni taabu na kero tupu......

    Mkazi wa Kigamboni

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...