" Karibu na asante kwa kuja kututembelea" Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Balozi Tuvako Manongi akimkaribisha Mhe. Shamsi Vuai Nahodha ( Mb) katika Ofisi za ubalozi wa Tanzania Umoja wa Mataifa.
Mhe. Shamsi Vuai Nahodha ( Mb) akisaini kitabu cha wageni Ofisini kwa Mwakilishi wa Kudumu Balozi Tuvako Manongi (kulia). Mhe. Nahodha alikuwa Nchini Marekani kwa ziara ya kikazi.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...