Miss World 2014,Rolene Strauss akiwamwenye furaha kubwa mara baada ya kutwaa taji hilo jioni hii katika ukumbi wa mikutano na maonesho wa ExCel London Exhibition and Convention Centre huko nchini Uingereza.
Mwenyekiti na Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Miss World, Julia Evelyn Morley akimtangaza Miss World 2014 ambaye mwaka huu anatokea nchini Afrika Kusini,Rolene Strauss.
Miss World 2014,Rolene Strauss akipungia mara baada ya kutwaa taji hilo. Kulia ni Mshindi wa pili, Nia Sanchez (USA) na kushoto ni mshindi wa tatu,Edina Kulcsár (HUNGARY)
Mambo ya Miss World 2014.
Miss World 2013 Megan Young akimvisha Miss South Africa Rolene STRAUSS shashi la ushindi wa mwaka 2014 katika ukumbi wa mikutano na maonesho wa ExCel London Exhibition and Convention Centre. Jumla ya washiriki 125 walipanda jukwaani na kushindania taji hilo, akiwemo mrembo Happiness Watimanywa wa Tanzania.
Huku UK sio usiku ndio kwanza saa 11 duu....
ReplyDeleteUnajua kuwa Tz ni saa 1 usiku?
Deletehuyo wetu kawa wangapi??
ReplyDeleteAlijitahidi Hutu wa kwetu kiingia kumi bora so mchezo
DeleteWazungu bwana .huyu sasa ni mwafrika kazi kwelikweli
ReplyDeleteMwafrika ni mtu gani?
Deletedu we noma
DeleteDemu ameumbika huyo wa Sauzi si mchezo
ReplyDeleteUzushi Mbongo hata 25 bora hajaingia, acheni siasa zenu.
ReplyDelete