Miss World 2014,Rolene Strauss akiwamwenye furaha kubwa mara baada ya kutwaa taji hilo jioni hii katika ukumbi wa mikutano na maonesho wa ExCel London Exhibition and Convention Centre huko nchini Uingereza.
 Mwenyekiti na Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Miss World, Julia Evelyn Morley akimtangaza Miss World 2014 ambaye mwaka huu anatokea nchini Afrika Kusini,Rolene Strauss.
Miss World 2014,Rolene Strauss akipungia mara baada ya kutwaa taji hilo. Kulia ni Mshindi wa pili, Nia Sanchez (USA) na kushoto ni mshindi wa tatu,Edina Kulcsár (HUNGARY)
Mambo ya Miss World 2014.
Miss World 2013 Megan Young akimvisha Miss South Africa Rolene STRAUSS shashi la ushindi wa mwaka 2014 katika ukumbi wa mikutano na maonesho wa ExCel London Exhibition and Convention Centre. Jumla ya washiriki 125 walipanda jukwaani na kushindania taji hilo, akiwemo mrembo Happiness Watimanywa wa Tanzania. 
Warembo walioshiriki Fainali za 64 za shindano la urembo la Miss World lililofanyika usiku huu jijini London.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Huku UK sio usiku ndio kwanza saa 11 duu....

    ReplyDelete
    Replies
    1. Unajua kuwa Tz ni saa 1 usiku?

      Delete
  2. huyo wetu kawa wangapi??

    ReplyDelete
    Replies
    1. Alijitahidi Hutu wa kwetu kiingia kumi bora so mchezo

      Delete
  3. Wazungu bwana .huyu sasa ni mwafrika kazi kwelikweli

    ReplyDelete
  4. Demu ameumbika huyo wa Sauzi si mchezo

    ReplyDelete
  5. Uzushi Mbongo hata 25 bora hajaingia, acheni siasa zenu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...