Zaidi ya abiria 50 wamenusurika kifo eneo la mlima nyoka mkoani Mbeya baada ya Basi la Mbukio Mission lililokuwa linatoka Mbeya
kuelekea Dsm kugongana na Lori .Habari kamili tutawaletea kwenye blog
yetu ya mbeya yetu sasa tupo kwenye tukio.Kwa hisani ya MbeyaYetu Blog.
Baadhi ya Abiria walionusurika kifo kwenye ajali hiyo wakishangaa.
Baadhi ya Makodakta wa basi hilo badala ya kujali roho za watu wao wanahangaika kuziba
jina la Basi, ajali hii imetokea leo asubuhi maeneo ya mlima nyoka
zaidi ya abiria 50 wamenusurika kifo
Washenzi sana hawa madereva na makonda kila siku ajali haziishi sababu hawana ujuzi wa udereva, reseni zao za kuchakachua
ReplyDelete