Ofisa Mtendaji Mkuu wa NMB,Bw.Mark Weissing akiongea na wana habari kuhusu makubaliano kati ya NMB na Master Card katika hafla fupi ya kuweka saini makubaliano hayo.
Daniel Monehin, Rais wa Kitengo, Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara wa MasterCardalisema (kulia) na Bw.Mark Weissing, Ofisa Mtendaji Mkuu wa NMB wakieka saini makubaliano.
MasterCard na National Microfinance Bank(NMB),
benki kubwa zaidi Tanzania,leo wametangaza makubaliano ya kutoa kadi milioni 1.5 za malipo za
MasterCard ambazo zitasaidia katika kupunguza utumiaji wa fedha taslimu na kuongeza ujumuishaji
wa masuala ya kifedha kwa kutoa malipo ya kielektroni.
Kama matokeo ya ushirikiano, NMB itatoa chipu salama ya EMV na PinMasterCard ya malipo, kadi za
malipo kwa kipindi cha miaka saba ijayo. Kadi itakuwa na teknolojia isiyo na mawasiliano ya
MasterCard, na kuonyesha kadi ya malipo isiyo na mawasiliano ya nchini Tanzania hadi sasa.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...