Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu akisalimiana na baadhi aya madiwani wa Loliondo juzi alipokwenda kujadiliana nao kuhusu mgogoro wa ardhi katika maeneo hayo. 
Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Ngorongoro, Raphael ong'oi akizungumza wakati ea kikao na Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu kujaduli mgogoro wa ardhi Loliondo.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu akiw ana mkuu wa wilaya ya Loliondo EliasLala lawai alipowasili katika ueanja wa ndege wa Waso, Loliondo kwa ajili ya mazungumzo na madiwani kuhusu mgogoro wa aerdhi uliodumu kwa miongo .
Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu akizungumza na madiwani wa Ngorongoro juzi wakati alipokutana nao ili kujadili jinsi ya kumaiza mgogoro wa ardhi Loliondo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Si utani, Nyalandu unapiga Kazi!
    Nilidhani hiyo spidi ilikuwa ya kutusahaulisha Mzee wetu Kagasheki lakini sasa nimekukubali - hata Kwenye "Manyatta" zetu za KImaasai umeingia bila Kokoro! Uko juu...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...