Bendi ya Muziki wa dansi Ngoma Africa Band aka FFU-ughaibu,
yenye makao nchini Ujerumani ,inawatakia wadau wote popote
pale MERRY X-MASS,msherehekee kwa Amani na Upendo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. FFU aka watoto wa mbwa,wakuu nakumbuka CD yenu hii anti-corruption squard mlitisha na ujumbe wenu

    ReplyDelete
  2. Ze Ngoma africa band aka kikosi maalumu cha kuziwia fujo nje ya nchi (FFU) aka
    watoto wa bull dogs wakubwa wa kazi tunawakubali nyie hakuna baby I love you nyie ni madongo tu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...