Familia ya Marehemu Mzee Alexander George Mushema inapenda kutoa shukurani kwa wale wote walio shiriki na kutufariji katika kipindi kigumu cha kuwapoteza wapendwa wetu kaka yetu Robert Deusdedit Kamashaija aliyefariki 26 November 2014 na baba yetu Alexander George Mushema aliyefariki tarehe 13 November 2014.
Shukurani ziende kwa madaktari wa Hospitali ya Mkoa Bukoba, Serikali ya Tanzania, Chuo Kikuu cha Uppsala Sweden.
Hatuwezi kumtaja kila mmoja lakini tunatanguliza shukurani zetu.
POLENI SANA
ReplyDeleteRIP
R.I.P
ReplyDeletePoleni sana wafiwa
Poleni sana familia ya Mzee Mushema.
ReplyDeleteNakumbuka Deus ukiwa jirani yetu Oysterbay na shule ya Msingi miaka mingi iliyopita.
Mungu apumzishe roho zenu, Amen.
Mdau
London,UK