FAMILIA YA MAREHEMU ANDREA CONSTANTINE LUPILYA INAPENDA KUWAJULISHA NDUGU JAMAA NA MARIFIKI KUWA TAREHE 28/12/2014 SIKU YA JUMAPILI KUTAFANYIKA IBADA TAKATIFU YA KISOMO CHA AROBAINI TOKA KUFARIKI KWA BABA YETU MPENDWA ANDREA CONSTANTINE LUPILYA KUANZIA SAA TANO ASUBHUHI NYUMBANI KWAKE NYAKATO – MJINI MWANZA.
AIDHA, IBADA HII ITAJUMUISHA IBADA TAKATIFU YA KUMUOMBEA MTOTO WA MAREHEMU BWANA ANTHONY LUPILYA ALIYEFARIKI LEO TAREHE 25/12/2014.
FAMILIA YA MAREHEMU KWA HESHIMA KUBWA INAWAKARIBISHA UKOO WOTE WA MAREHEMU ANDREA C. LUPILYA, UKOO WA BABU ANDREA, UKOO WA BIBI KADO; NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI KUSHIRIKI KATIKA IBADA HII .
KWA TAARIFA ZAIDI UNAWEZA KUWASILIANA NA MTOTO MKUBWA WA MAREHEMU BWANA DEOGRATIUS LUPILYA KUPITIA NAMBA YA SIMU HII: 255765-246-233 / 255657621427.
NYOTE MNAKARIBISHWA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...