MKURUGENZI MTENDAJI WA KAMPUNI YA MICHUZI MEDIA GROUP (MMG) ANAPENDA KUTAHADHARISHA WADAU POPOTE WALIPO KUHUSIANA NA UJUMBE (PICHANI) AMBAO UPO KWENYE FACE BOOK NA HATA KWENYE TWITTER) KWAMBA UJUMBE HUO  HAUHUSIANI KWA LOLOTE NA ANKAL MUHIDIN ISSA MICHUZI,  WALA MMG AMA WAKALA WAKE. 

HIVYO TUNAWASIHI TUSIHUSISHWE NAYO NA PIA TUNAWAOMBA KUWA MACHO NA MAMBO KAMA HAYA,MAANA ULAGHAI NA UTAPELI MITANDAONI NI MWINGI MNO.

AHSANTENI SANA
ANKAL

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. jinga kabisa hao watu, hawajui bwana michuzi wewe motto wa mjini zaidi yako, wanatumia jina lako kukwibia watu, wasindwe na walegee kabisa. dora mbili? ama kweli ukishangaa ya mtandaoni utakumbwa na ya shetani

    ReplyDelete
  2. Hawa jamaa cyber-thives wajanja sana.Mimi siku zote najitapa kuwa mjanja,mjuzi wa computer, na nina computer driving licence, mtoto wa mjini, lakini siku moja jamaa walifanikiwa kuchota pesa kwenye account yangu.Sitaki kukwambia walifanyaje, lakini walipitia kwenye address book yangu na kumfanya rafiki yangu aniombe ni-remote control computer yake nimsaidie matatizo ya ufundi.While I connected to my friends computer, they had already had a connection to my friend thus to me too. The rest is history. Just stay alert and pray they dont target you.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...