Mkurugenzi
wa Uhusiano na Sheria wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Stephen
Kilindo,(kushoto), akimkabidhi Kamanda Polisi, Kikosi cha Usalama
Barabarani, Kamishna Mohammed Mpinga. Ripoti ya Upimaji wa afya za
madereva, wakati wa Wiki ya Nenda kwa Usalama barabarani iliyofanyika
Novemba 22 hadi 28 katika vituo vya mikese, mkoaniMorogoro. Makabidhiano
hayo yalifanyika Dar es Salaam juzi.
Kamanda Polisi, Kikosi cha Usalama Barabarani, Kamishna Mohammed Mpinga. akitoa shukrani kwa TBL baada ya kukabidhiwa Ripoti ya Upimaji wa afya za madereva,
Mganga Mkuu wa Polisi akisoma ripoti hiyo.
Kamanda Polisi, Kikosi cha Usalama Barabarani, Kamishna Mohammed Mpinga. akitoa shukrani kwa TBL baada ya kukabidhiwa Ripoti ya Upimaji wa afya za madereva,
Mganga Mkuu wa Polisi akisoma ripoti hiyo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...