Mwenyekiti wa Bodi ya TPDC, Ndg. Michael Mwanda,
akifunga semina ya wadau wa mafuta na gesi iliyofanyika Bagamoyo.
Kamishna
Msaidizi wa Gesi, Mhandisi, Nobert Kahyoza, akifungua semina ya TPDC kwa niaba
ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini. Semina hiyo ililenga kutoa
taarifa muhimu zinazo hitajika kwa wadau katika sekta ya mafuta na gesi kutoka
sehemu mbali mbali zikiwemo wizara, taasisi na waandishi wa habari, semina hiyo
iliyofanyika Bagamoyo.
Wadau
wa sekta ya mafuta na gesi walioshiriki semina wakifutilia kwa makini mtoa mada
(hayupo pichani) katika semina hiyo Bagamoyo.
Washiriki
wa semina ya mafuta na gesi iliyoandaliwa na TPDC na kufanyika Bagamoyo, wakiwa
katika picha ya pamoja.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...