Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
(TAMISEMI) Mh. Hawa Ghasia akiwaeleza waandishi wa Habari leo jijini Dar es
salaam kuhusu mafanikio ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika jana kote
nchini ambapo umefanikiwa kwa asilimia 98%,kushoto ni Katibu Mkuu Ofisi ya
Waziri Mkuu TAMISEMI Bw. Jumanne Sagini.
Baadhi ya waandishi wa Habari wakifuatilia mkutano wa Waziri wa nchi Ofisi
ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mh.Hawa
Ghasia (hayupo pichani) na vyombo vya habari uliofanyika leo jijini Dar es salam
ukilenga kueleza hatua zitakazochukuliwa na Serikali kwa wale wote
waliosababisha kasoro mbalimbali katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika
jana kote nchini.
Picha zote na Maelezo
Pale palipokuwa na kasoro tujifunze kwa ajili ya kuboresha. Huu ni uchaguzi ambao uko karibu sana na wananchi makosa yoyote yaliyojitokeza katika uschaguzi huu yasijirudie. Mikutano ya kutathmini mafanikio na matatizo na jinsi ya kuboresha ili wananchi siku za uson wapate viongozi wanaowataka ni muhimu katika halmashauri zote.
ReplyDelete