Wadau wa Globu ya Jamii wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kulamba Nondooz zao za Banking and Finance katika Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) jijini Dar es Salaam hivi juzi.Pichani toka Husna,Hamisa,Julliez,Evamary.Updesh,Miriam na Lydia waki na nyuso za furaha kabisa.
Wadau Julliez na Mirium Wakifurahia baada ya kupata nondoz zao.
Hongera kwa kupata shahada karibuni katika kutumia ujuzi mliopata kubadilisha nchi yenu ya Tanzania.
ReplyDelete